Maana ya neno ah! na English translation

Maana ya neno ah!

Matamshi: /a/

(Kihisishi)

Maana: tamko linalotamkwa na mtu anapohisi vibaya au kukerwa na kitu au jambo fulani.

Mfano: Ah! Mbona umechelewa sana kuja kuuchukua mzigo wako?

Ah! Katika Kiingereza (English translation)

Ah! Katika Kiingereza ni: Aw!, Argh!, ah!

Related Posts