Maana ya neno ahadi na English translation

Maana ya neno ahadi

Matamshi: /ahadi/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana:

Ahadi 1

Maana: kauli ya kutia nia au azimio la kufanya jambo. Visawe vyake ni: agano au mapatano.

(Methali): Ahadi ni deni: Ukitoa ahadi unawajibika kulitekeleza jambo uliloliahidi.

Ahadi 2

Maana: mwisho wa uhai wa mtu.

Ahadi Katika Kiingereza (English translation)

Ahadi katika Kiingereza inategemea maana unayokusudia:

Ahadi (kauli ya kutia nia au azimio la kufanya jambo ni: promise, agreement.

Ahadi( mwisho wa uhai wa mtu) ni: end of life.

Related Posts