Maana ya neno ahera na English translation

Maana ya neno ahera

Matamshi: /ahera/

Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: pia akhera, maskani inayoaminiwa kidini kuwa mahali zinakoenda roho za wanadamu baada ya kuaga dunia hadi siku ya kiyama zitakapofufuliwa. Kisawe chake ni jongomeo.

Ahera Katika Kiingereza (English translation)

Ahera katika Kiingereza: afterlife.

Related Posts