Maana ya neno aina na English translation

Maana ya neno aina

Matamshi: /aina/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: namna au jinsi kitu kilivyo au kuonekana. Kisawe ni sampuli.

Aina Katika Kiingereza (English translation)

Aina katika Kiingereza ni: type, kind, category, species.

Related Posts