Maana ya neno ajari na English translation

Maana ya neno ajari

Matamshi: /ajari/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana:

1. kazi ya nyongeza au inayopita saa zake za kumaliza kazi.

2. malipo ya muda wa ziada wa kufanya kazi.

Ajari Katika Kiingereza  (English translation)

Ajari katika Kiingereza inategemea maana unayokusudia:

  • Ajari ya kazi ya nyongeza ni: overtime work.
  • Ajari ya malipo ya kufanya kazi muda wa ziada ni: overtime payment.
Related Posts