Maana ya neno ajemi na English translation

Maana ya neno ajemi

Matamshi: /ajɛmi/

Ajemi 1

Maana: pia Uajemi, Iran.

Mfano: Zamani inasemekana mabaharia kutoka Ajemi walikuja pwani ya Afrika ya Mashariki.

Ajemi 2

(Nomino katika ngeli ya [i-zi)

Maana: mkate kama chapati uliookwa katika tanuri.

Ajemi Katika Kiingereza (English translation)

Ajemi katika Kiingereza inategemea maana unayokusudia:

  • Ajemi ya uajemi ni: Iran ama Persian.
  • Ajemi ya mkate wa chapati ni: round flat bread.
Related Posts