Maana ya neno ajizi na English translation

Maana ya neno ajizi

Matamshi: /ajizi/

Ajizi 1

(Kivumishi)

Maana: tabia ya uvivu; ulegevu au uzembe.

(Methali) Ajizi nyumba ya njaa: Uchelewaji katika kutekeleza mambo husababisha hasara.

Ajizi 2

(Kivumishi)

Maana: sifa ya kupumbaa, kuduwaa au kuwa mzembe.

Ajizi Katika Kiingereza (English translation)

Ajizi katika Kiingereza inategemea maana unayokusudia:

  • Ajizi (uvivu; ulegevu au uzembe) ni: Laziness, sluggishness, negligence.
  • Ajizi (sifa ya kupumbaa, kuduwaa) ni: Foolishness, stupidity.
Related Posts