Maana ya neno ajua na English translation

Maana ya neno ajua

Matamshi: /ajua/

Ajua 1

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: bao lenye vishimo vilivyotandazika safu mbili ambavyo wachezaji huziwekea gololi kadhaa wakati wa kucheza mchezo huo.

Ajua 2

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: kauli inayotamkwa kwa lengo la kutaka jambo fulani lirudiwe tena kutokana na kutoridhika kwake.

Ajua Katika Kiingereza (English translation)

Ajua katika Kiingereza inategemea maana unayokusudia:

  • Ajua ya bao lenye vishimo ni: A game board with holes arranged in two rows where players place marbles.
  • Ajua ya kauli ya kutamka ili jambo lirudiwe ni: Pardon, eh, what, sorry say again etc.
Related Posts