Maana ya neno ajwadi
Matamshi: /ajwadi/
Ajwadi 1
(Kivumishi)
Maana: pia ajuadi, sifa ya mtu aliye karimu au anayekirimu watu.
Ajwadi 2
(Kivumishi)
Maana: pia ajuadi,
1. maarufu sana.
2. iliyo bora sana.
Ajwadi Katika Kiingereza (English translation)
Ajwadi katika Kiingereza inategemea maana unayokusudia:
- Ajawadi ya sifa ya mtu aliye karimu ni: Generous.
- Ajawadi ya maarufu au bora sana ni: Very popular or very good.