Maana ya neno akika na English translation

Maana ya neno akika

Matamshi: /akika/

Akika 1

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: uchinjaji mbuzi au kondoo kulingana na mila na desturi ya jamii.

Akika 2

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: sherehe inayoambatana na mtoto mchanga kunyolewa nywele kwa mara ya kwanza.

Akika 3

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: bonde ambalo humomonyoka kutokana na majilio mengi ya maji ya mvua.

Akika Katika Kiingereza (English translation)

Akika katika KIingereza inategemea na maana unayokusudia:

  • Akika (uchinjaji mbuzi au kondoo kulingana na mila) ni: Sacrificial slaughter of goat/sheep.
  • Akika (sherehe inayoambatana na mtoto mchanga kunyolewa nywele kwa mara ya kwanza) ni: The first baby’s hair shaving ceremony
  • Akika (: bonde ambalo humomonyoka kutokana na majilio mengi ya maji ya mvua) ni: Eroded valley.
Related Posts