Maana ya neno akronimi na English translation

Maana ya neno akronimi

Matamshi: /akronimi/

(Nomino katika ngeli [i-zi])

Maana: mbinu katika isimu hasa tawi la mofolojia ya kuunda maneno kwa kuchukua herufi za kwanza za maneno mengine na kuunda neno fupi.

Akronimi Katika Kiingereza (English translation)

Akronimi katika Kiingereza ni: acronym.

Related Posts