Maana ya neno alfalfa
Matamshi: /alfalfa/
(Nomino katika ngeli ya [i-zi])
Maana: nyasi au majani yanayolishwa howa kama vile mbuzi, kondoo, ng’ombe au nguruwe.
Alfalfa Katika Kiingereza (English translation)
Alfalfa katika Kiingereza ni: alfalfa grass.