Maana ya neno alhasili
Matamshi: /alhasili/
Alhasili 1
(Kivumishi)
Maana: neno hili hutumika kutilia mkazo hisia za furaha baada ya mavuno ya mazao fulani kuwa na bubujiko zuri au uchumaji wa vitu fulani kuwa na neema kubwa.
Alhasili 2
(Kivumishi)
Maana:
1. sawasawa na au kama vile.
2. kwa ufupi au kwa muhtasari.
Alhasili Katika Kiingereza (English translation)
Alhasili katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:
- Alhasili ( neno linalo tilia mkazo hisia za furaha baada ya mavuno) ni: any word used to emphasize the feeling of happiness after a good harvest.
- Alhasili (sawasawa na au kama vile) ni: equal to or like.
- Alhasili (kwa ufupi au kwa muhtasari) ni: briefly or in summary.