Maana ya neno alia na English translation

Maana ya neno alia

Matamshi: /alia/

Alia 1

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: alama mwilini baada ya kuchapwa kwa bakora au fimbo.

Mnyambuliko wake ni: → alilia, alilika, alilisha.

Alia 2

(Kitenzi si elekezi)

1. kausha au nyausha samaki kwa kuwaoka motoni kuwatandaza juani.

2. tia samaki juu ya nyalio kwa mpangilio mzuri kisha kuwaweka kwenye chungu kidogo.

Mnyambuliko wake ni: → alika, alilia.

Alia Katika Kiingereza  (English translation)

Alia katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:

  • Alia (alama mwilini baada ya kuchapwa kwa bakora au fimbo) ni: scar.
  • Alia (tia samaki juu ya nyalio) ni: dry fish in the sun or by smoking.
Related Posts