Maana ya neno aljebra na English translation

Maana ya neno aljebra

Matamshi: /aljebra/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: hesabu inayotumia mseto wa herufi zilizofumba au kuwakilisha thamani fulani ya tarakimu husika.

Aljebra Katika Kiingereza (English translation)

Aljebra katika Kiingereza ni: algebra.

Related Posts