Maana ya neno almasi na English translation

Maana ya neno almasi

Matamshi: /almasi/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: madini magumu mno angavu yenye mikato ya pembe zinazomeremeta na hutumika katika ukataji wa vitu vigumu sana; jiwe au kito cha thamani kuu.

Almasi Katika Kiingereza (English translation)

Almasi katika Kiingereza ni: diamond.

Related Posts