Maana ya neno alumini na English translation

Maana ya neno alumini/aluminiamu

Matamshi: /alumini/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: pia aluminiamu, madini inayotumika sana katika vifaa vya nyumba kama vile paa la nyumba, birika na sufuria.

Alumini Katika Kiingereza (English translation)

Alumini katika Kiingereza ni: Aluminium or aluminum.

Related Posts