Maana ya neno alumni na English translation

Maana ya neno alumni

Matamshi: /alumni/

(Nomino katika ngeli ya [a-wa])

Maana

1. mwanafunzi wa zamani wa shule au chuo fulani; mtu aliyehitimu kutoka shule au chuo fulani.

2. mfanyikazi wa zamani wa kampuni au shirika fulani.

Alumni Katika Kiingereza (English translation)

Alumni katika Kiingereza ni: Alumnus/ alumnae.

Related Posts