Maana ya neno amagedoni na English translation

Maana ya neno amagedoni

Matamshi: /amagedɔni/

(Nomino katika ngeli ya [i-])

Maana:

1. Mahala ambapo patafanyika pambano la vita vya mwisho kati ya kani za wema na kani za uovu kabla ya siku ya mwisho kuambatana na imani ya Biblia tukufu.

2. pambano la vita vya mwisho vya maangamizi ya dunia kama vile Vita Vikuu Vya Dunia vya Nyuklia.

Amagedoni Katika Kiingereza (English translation)

Amagedoni katika Kiingereza ni: Armageddon.

Related Posts