Maana ya neno ambari na English translation

Maana ya neno ambari

Matamshi: /ambari/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: zao la mafuta ya nyangumi ambalo lina rangi ya hudhurungi na linanukia vizuri.

Msemo: Kwa udi na ambari: Adimika kwa kitu au kuwa nadra mno kupatikana.

Ambari Katika Kiingereza (English translation)

Ambari katika Kiingereza ni: ambergris.

Related Posts