Maana ya neno ambo
Matamshi: /ambɔ/
Wingi wa ambo ni maambo.
Ambo 1
(Nomino katika ngeli ya [li-ya])
1. maradhi yanayosambazika.
2. kitu kinachosambaza au kueneza maradhi au ugonjwa fulani kama vile mdudu au maji.
Ambo 2
(Nomino katika ngeli ya [li-ya])
Maana: aina ya gluu au kitu kinachonata kama gundi.
Ambo Katika Kiingereza (English translation)
Ambo katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:
- Ambo (maradhi yanayosambazika) ni: infectious disease.
- Ambo (kitu kinachosambaza au kueneza maradhi au ugonjwa fulani) ni: vector – something that spreads or transmits a disease or illness.