Maana ya neno amfetamini
Matamshi: /amfetamini/
(Nomino katika ngeli ya [i-zi])
Maana: dawa ya kulevya ambayo huamsha na kuusisimua mfumo mkuu wa neva za mwili na pia hutumiwa kumchangamsha mtu aliyezongwa na huzuni; dawa ya kulevya inayotumiwa mara nyingine kudhibiti ulaji ili kupunguza unene wa mtu.
Amfetamini Katika Kiingereza (English translation)
Amfetamini katika Kiingereza ni: amphetamine.