Posted by:
Brennon Nakisha
|
On:
Matamshi: /ampɛa/
(Nomino katika ngeli ya [i-zi])
Maana: pia ampia, kipimo cha mawimbi au mkondo wa umeme.
Ampea katika Kiingereza ni: ampere or amp.