Posted by:
Brennon Nakisha
|
On:
Matamshi: /amplifaja/
(Nomino katika ngeli ya [i-zi])
Maana: kifaa cha elektroniki chenye kupaza au kuvumisha sauti.
Amplifaya katika Kiingereza ni: Amplifier.