Posted by:
Brennon Nakisha
|
On:
Matamshi: /amu/
(Nomino katika ngeli ya [a-wa])
Maana: ndugu wa baba. Kisawe chake ni ami.
Amu katika Kiingereza ni: Uncle (father’s brother)