Maana ya bawasiri katika Kiswahili
Bawasiri ni ugonjwa unaosababisha mkundu kuvimba, kutokeza nje n ahata kutoka damu.
Visawe vya bawasiri ni:
- Mjiko
- Kikundu
- Puru
- Future
- Mgolo
Bawasiri in English
Tafsiri ya bawasiri in English ni hemorrhoids. Ufafanuzi wa hemorrhoids in English ni:
“Hemorrhoids, also called piles, are swollen veins in the anus and lower rectum.”
Hemorrhoids in Kiswahili
Hemorrhoids in Kiswahili ni bawasiri.