Kichomi in English

Posted by:

|

On:

|

,

Kichomi ni nini? Maana ya kichomi katika Kiswahili

Kichomi ni ugonjwa wa mapafu ambao hutatiza mfumo wa kupumua.

Visawe vya kichomi ni:

  • Mkamba
  • Nimonia

Kichomi in English

Kichomi in English ni ugonjwa wa pneumonia.

“Pneumonia is an infection that inflames the air sacs in one or both lungs. The air sacs may fill with fluid or pus (purulent material), causing cough with phlegm or pus, fever, chills, and difficulty breathing.”

Pneumonia in English

Pneumonia in English is kichomi.