Kisonono in English

Posted by:

|

On:

|

,

Maana ya kisonono katika Kiswahili

Kisonono ni maradhi yanayo enezwa kwa njia ya kujamiiana ambayo hufanya tupu ya mbele kutoka usaha au damu.

Kisonono in English

Ugonjwa wa kisonono in English unaitwa gonorrhea. Huu ndio ufafanuzi wa gonorrhea in English:

“a venereal disease involving inflammatory discharge from the urethra or vagina.”

Gonorrhea in Kiswahili

Gonorrhea in Kiswahili is kisonono.