Mafua in English

Posted by:

|

On:

|

,

Maana ya mafua katika Kiswahili

Mafua ni ugonjwa wa kutoa makamasi unaoambatana na kukohoa.

Mafua in English

Neno mafua hutafsiriwa kuwa flu in English. Ufafanuzi wa flu in English ni:

“refers to a viral respiratory illness characterized by fever, cough, sore throat, runny or stuffy nose, muscle aches, and fatigue.”

Cold: Katika baadhi ya miktadha, “mafua” inaweza pia kurejelea a common cold in English. “Cold” kwa kawaida huwa na dalili zinazofanana na “flu”, lakini kwa ujumla huwa si kali na hudumu kwa muda mfupi.

Flu in Kiswahili

Flu in Kiswahili ni mafua.

Comments are closed.