Surua in English

Posted by:

|

On:

|

,

Surua ni nini? – Maana ya surua katika Kiswahili

Surua ni ugonjwa wa watoto unaosababisha homa kali, kukohoa na kuifanya ngozi kuwa na vipele vidogovidogo.

Surua in English

“Surua” in English is measles.

Measles is a highly contagious, serious airborne disease caused by a virus that can lead to severe complications.

Measles in Kiswahili

Measles in Kiswahili ni surua.

Comments are closed.