tezi dume

Tezi dume in English

Posted by:

|

On:

|

,

Tezi dume ni nini? – Maana ya tezi dume katika Kiswahili

Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la kiume ambalo kila mwanaume analo, tezi hili lipo chini ya kibofu cha mkojo na linazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume.

Tezi dume in English

Tezi dume means “prostate gland” in English. Ufafanuzi wa “prostate gland” in English ni:

“The prostate is a walnut-sized gland located between the bladder and the penis. The prostate is just in front of the rectum.”

Comments are closed.