Author: Maria Njeri

  • Umuhimu wa magazeti

    Umuhimu wa magazeti
    ,

    Magazeti hushughulikia mambo maalum na hutoa habari za hivi karibuni zaidi kuliko vitabu. Kawaida huwa na picha za kuvutia na michoro inayoifanya kuwa rahisi kusoma. Hapa ni baadhi ya umuhimu wa magazeti: Read more

  • Umuhimu wa michezo

    Umuhimu wa michezo katika maisha ya mtu ni wa thamani sana na una faida nyingi za afya ya kimwili na ya akili. Hizi hapa ni umuhimu wa ichezo: Read more

  • Dubai ipo nchi gani? Gundua ukweli kuhusu Dubai.

    Dubai ipo nchi gani? Gundua ukweli kuhusu Dubai.

    Dubai ipo nchi gani? Dubai ni jiji kubwa na emirate katika Umoja wa Falme za Kiarabu (United Arab Emirates). Emirate ya Dubai iko kwenye Persian Gulf, ikiwa ni moja ya emirates saba zinazounda nchi ya United Arab Emirates. Read more

  • Sala ya baba yetu uliye mbinguni (Lord’s prayer)

    Sala ya Bwana, pia inaitwa Baba Yetu, ni sala kuu ya Kikristo ambayo Yesu alifundisha kama njia ya kuomba. Sala ya Bwana katika biblia iko katika kitabu cha Mathayo 6:9-13 na Luka 11:2-4. Read more

  • Sala za jioni

    Kila mwisho wa siku ni vizuri kuchukua muda wa kumshukuru Mungu kwa siku inayoisha na kuomba ulinzi wake juu ya usiku unaoanza. Hapa utapata sala fupi ambazo unaweza kutumia kumuomba na kumshukuru Mungu kabla ya kulala. Read more

  • Sala za Asubuhi

    Hizi hapa ni sala za asubuhi za kumshukuru Mungu kwa kukulinda usiku wote na kumwomba aibariki siku yako. Read more

  • Jinsi ya kupika pilau

    Jinsi ya kupika pilau

    Pilau ni wali uliyotiwa ladha ya nyama na viungo na wakati mwingine kupikwa kwa mboga. Hapa kuna njia mbili rahisi jinsi ya kupika pilau. Read more

  • Maombi ya kuomba riziki

    Maombi ya kuomba riziki

    Haya maombi yatakuwezesha upate kazi rizki na kzi unayotafuta. Read more

  • Maombi ya kuomba ufanikiwe katika jambo

    Maombi ya kuomba ufanikiwe katika jambo

    Maombi ni nini Maombi ni mawasiliano na Mungu. Tunafanya hivyo kwa kumsifu, kukiri dhambi zetu mbele zake, kumshukuru na kumwomba mahitaji yetu. Katika nakala hii, tutachunguza dua ya kuomba jambo lifanikiwe na sala zingine zinazohusiana ambazo zinaweza kukusaidia kufikia mafanikio na usawa katika maeneo yote ya maisha. Maombi ya kuomba ufanikiwe Dua lenye nguvu kupata… Read more

  • Dua za kulala: Maombi ya usiku

    Dua za kulala: Maombi ya usiku

    Pata maombi mazuri hapa ili kuubariki usiku wako. Kwa utulivu na imani, omba maombi haya ya thamani kwa Bwana na ulale kwa amani, pamoja na Mungu! Read more