Category: Afya
Sehemu hii inahusu mada za afya.
Choroko/pojo in English – Faida za kiafya za choroko
Choroko ni aina ya nafaka ndogo kama punje ya mtama yenye rangi ya kijani. Read more
Fenesi in English – Maana ya Fenesi na faida za kiafya
“Fenesi” translates to jackfruit in English. Huu ndio ufafanuzi wa Kiingereza wa fenesi: “Jackfruit is known for its massive size, spiky exterior, and delicious flesh. When ripe, the flesh becomes sweet and juicy, while unripe jackfruit has a neutral flavor and meaty texture.” Read more
Tende in english – Na faida za kula tende
Tende in English is dates. Huu ndio ufafanuzi wa Kiingereza wa dates: “Dates refer to the sweet, elongated fruits of the date palm tree. They grow in clusters and are enjoyed fresh, dried, or cooked with various dishes.” Read more
Dagaa in English – Maana na faida ya dagaa
Dagaa in English is Sardines. Huu ndio ufafanuzi wa Kiingereza wa sardine: a young pilchard or other young or small herring-like fish. Read more
Dalili za mwanzo za ukimwi kwa wanawake
Ukimwi ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya ukimwi (VVU)/(HIV). VVU huharibu seli za kinga mwilini, zinazojulikana kama seli T, ambazo husaidia mwili kupambana na maambukizi. Read more
Dalili za mwanzo za ukimwi kwa wanaume
Ukimwi ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi vya ukimwi (VVU)/ (HIV). Virusi hivi huingia na kuharibu seli za kinga za mwili, ambazo husaidia kulinda mwili dhidi ya maambukizi. Read more
Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume
Makala haya yanaangazia njia za asili za kutibu tatizo la nguvu za kiume. Njia hizi zimethibitishwa kuwa na ufanisi katika kutibu tatizo hili, na ni salama kutumia. Read more
Vyakula na jinsi ya kupunguza tumbo
Ikiwa unajaribu kuondoa mafuta ya tumbo karibu na kiuno chako, jaribu vyakula hivi: Read more
Maana ya uboho
Uboho ni majimaji au rojorojo iliyomo katika mifupa ya binadamu au mnyama. Uboho kwa Kiingereza ni bone marrow. Read more
Kunguni husababishwa na nini? Na jinsi ya kuzuia
Katika makala haya tutaona mahali kunguni wanapenda kuishi, kunguni husababishwa na nini, dalili za kunguni na jinsi ya kuzuia kunguni. Read more