Category: Maana ya maneno
Maana ya neno aimi! na English translation
Maana ya neno aimi! Matamshi: /aimi/ (Kihisishi) Maana: tamko analotoa mtu kujionea huruma. Visawe vyake…
Maana ya neno aili na English translation
Maana ya neno aili Matamshi: /aili/ aili 1 (Kitenzi elekezi) Maana: tia hatiani au lawamani.…
Maana ya neno aila na English translation
Maana ya neno aila Matamshi: /aila/ (Nomino katika ngeli ya [i-]) Maana: jamaa, wanaohusiana kidamu…
Maana ya neno aidini na English translation
Maana ya neno aidini Matamshi: /aidini/ (Nomino katika ngeli ya [i-]) Maana: kemikali ya majimaji…
Maana ya neno aidha na English translation
Maana ya neno aidha Matamshi: /aiða/ (Kivumishi) Maana: neno litumikalo kuonyesha kuwa kuna nyongeza ya…
Maana ya neno aibu na English translation
Maana ya neno aibu Matamshi: /aibu / (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) 1. jambo au…
Maana ya neno aibisha na English translation
Maana ya neno aibisha Matamshi: /aibisha/ (Kitenzi elekezi) Maana: teremsha heshima ya mtu kwa kumfanyia…
Maana ya neno aibika na English translation
Maana ya neno aibika Matamshi: /aibika/ (Kitenzi si elekezi) Maana: pata fedheha baada ya kufanya…
Maana ya neno ahueni na English translation
Maana ya neno ahueni Matamshi: /ahuɛni/ (Nomino katika ngeli ya [i-]) Maana: afadhali au nafuu…
Maana ya neno ahsante na English translation
Maana ya neno ahsante Matamshi: /asante / ahsante! 1 (Kihisishi) Maana: pia asante! Tamko la…