Category: Kamusi
Udogo na ukubwa wa neno mji
Tukidondosha herufi {m} na kupachika kiambishi {ji}, ukubwa wa mji utakuwa jiji.
Udogo na ukubwa wa neno mbuzi
Nomino mbuzi huanza na herufi {m} mwanzoni na lina zaidi ya silabi mbili katika mzizi,…
Udogo na ukubwa wa neno ng’ombe
Neno ng’ombe linaanza na sauti {n} mwanzoni na hufuatwa na konsonanti {g}, kuunda herufi za…
Udogo na ukubwa wa neno ndovu
Nomino ndovu inaanza na herufi {n} mwanzoni na kufuatwa na konsonanti nyingine kuunda herufi za…
Udogo na ukubwa wa neno mti
Nomino mti, inaanza na herufi {m} mwanzoni na ina silabi moja ya mzizi, tunadondosha herufi…
Udogo na ukubwa wa neno mbwa
Nomino mbwa inaanza na herufi {m} mwanzoni na ina silabi moja katika mzizi, tunadondosha herufi…
Udogo na ukubwa wa neno kiti
Kupata ukubwa wa kiti tunazingatia sheria hii ya ukubwa wa nomino: Nomino zinazoanza na kiambishi…
Ukubwa wa nomino
Mara nyingi nomino katika ukubwa hujukua viambishi vya umoja {ji/j}. Aidha, viambishi {ma/maji} hutumiwa katika…
Wingi wa parachichi ni?
Neno parachichi halina wingi. Kwa hivyo, wingi wa parachichi hupaki parachichi.