Category: Gospel

Sehemu hii inahusu uhusiano wako na Mungu na mafundisho muhimu ya kikristo.

  • Maana ya wokovu na jinsi utaokolewa

    Wokovu, kwa maneno ya kibiblia, unarejelea ukombozi wa wanadamu kutoka kwa matokeo ya dhambi na urejesho wa uhusiano mzuri na Mungu kupitia imani katika Yesu Kristo. Read more

  • Maana ya zaka na sadaka na umuhimu wa kutoa

    Zaka ni utoaji wa asilimia kumi ya mapato kwa ajili ya Mungu. Pia zaka huitwa “fungu la kumi”. Zaka kwa Kiingereza ni tithe. Sadaka ni utoaji wa hiari wa mali au huduma kwa ajili ya Mungu au kwa ajili ya watu wengine. Sadaka kwa Kiingereza ni offering. Read more

  • Maana ya ubatizo na umuhimu wake

    Maana ya ubatizo na umuhimu wake

    Ubatizo ni kuzamishwa kabisa ndani ya maji. Ubatizo ni ishara kuonyesha kwa hadharani, kwamba mtu anayebatizwa ametubu dhambi zake na kutoa ahadi kwa Mungu ya kufanya mapenzi yake. Hii inamaanisha kuishi maisha ya kumtii Mungu na Yesu. Watu wanaobatizwa hujiweka kwenye njia ya uzima wa milele. Read more

  • Imani ni nini? Maana yake Kibiblia na Umuhimu kwa Wakristo

    Kulingana na ufafanuzi wa kibiblia katika Waebrania 11:1 biblia inasema “Basi, imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni uhakika wa mambo tusiyoyaona.” Read more

  • Maana ya dhambi na jinsi utapata wokovu

    Dhambi inaelezwa katika biblia kuwa ni uvunjaji wa sheria ya Mungu (1 Yohana 3:4) na uasi dhidi ya Mungu (Kumbukumbu la Torati 9:7; Yoshua 1:18). Read more

  • Sala ya baba yetu uliye mbinguni (Lord’s prayer)

    Sala ya Bwana, pia inaitwa Baba Yetu, ni sala kuu ya Kikristo ambayo Yesu alifundisha kama njia ya kuomba. Sala ya Bwana katika biblia iko katika kitabu cha Mathayo 6:9-13 na Luka 11:2-4. Read more

  • Sala za jioni

    Kila mwisho wa siku ni vizuri kuchukua muda wa kumshukuru Mungu kwa siku inayoisha na kuomba ulinzi wake juu ya usiku unaoanza. Hapa utapata sala fupi ambazo unaweza kutumia kumuomba na kumshukuru Mungu kabla ya kulala. Read more

  • Sala za Asubuhi

    Hizi hapa ni sala za asubuhi za kumshukuru Mungu kwa kukulinda usiku wote na kumwomba aibariki siku yako. Read more

  • Maombi ya kuomba riziki

    Maombi ya kuomba riziki

    Haya maombi yatakuwezesha upate kazi rizki na kzi unayotafuta. Read more

  • Maombi ya kuomba ufanikiwe katika jambo

    Maombi ya kuomba ufanikiwe katika jambo

    Maombi ni nini Maombi ni mawasiliano na Mungu. Tunafanya hivyo kwa kumsifu, kukiri dhambi zetu mbele zake, kumshukuru na kumwomba mahitaji yetu. Katika nakala hii, tutachunguza dua ya kuomba jambo lifanikiwe na sala zingine zinazohusiana ambazo zinaweza kukusaidia kufikia mafanikio na usawa katika maeneo yote ya maisha. Maombi ya kuomba ufanikiwe Dua lenye nguvu kupata… Read more