Category: Swahili quotes

Sehemu hii inahusu dondoo katika lugha ya Kiswahili

 • 100 Maneno ya kutia moyo

  Unapochagua kufuata ndoto zako, unahitaji kufahamu kuwa haitakuwa rahisi kila wakati. Kutakuwa na masaa ya shida, hali mbaya na mapambano mengi. Inahitaji ujasiri na hamasa kubwa kutokata tamaa, ndio ufanikiwe. Ili kuboresha safari hii, angalia maneno bora zaidi ya kutia moyo hapa chini. Read more

 • Maneno mazuri ya happy birthday | Ujumbe wa siku ya kuzaliwa

  Heri ya Siku ya Kuzaliwa! Si rahisi kupata maneno au jumbe bora za kupongeza siku ya kuzaliwa, kwa hivyo hii nakala itakupa ujumbe au maneno ya pongezi ya happy birthday. Read more

 • Maneno ya kuumiza moyo kuhusu mapenzi

  Upendo ni mojawapo ya hisia nzuri zaidi duniani, lakini wakati mwingine huenda vibaya na huzuni huja. Katika nyakati hizo, mtu anapotukosea na tunahisi kuvunjika moyo, ni vizuri kutafuta misemo inayotusaidia kusema kwamba tuna huzuni. Maneno haya yanatimiza kusudi hilo, wa kuelezea uchungu wa kuumizika moyo. Read more

 • Maneno matamu ya mapenzi

  Mapenzi ndio huleta utamu maishani na hutuchochea hisia kali. Ili kuthamini huyo mtu maalum anayekupa raha, kwa hii nakala utapata maneno matamu ya mapenzi ya kumwambia. Read more

 • 100 Maneno kuntu ya kupost

  Tukiwa mtandaoni, mara nyingi tunataka kupost maneno kuntu na ya hekima ili kueneza motisha ama maarifa na busara, sivyo? Ndio maana tumekupa maneno kuntu ya kupost kila siku. Read more

 • 100 Maneno ya mahaba

  Hujui la kumwambia mpendwa wako? Ingawa mahaba ni hisia nzuri zaidi, sio rahisi kila wakati kupata neno kamili la kujielezea na kujitangaza vizuri kwa mpenzi wako. Kwa hivo hapa nimekusanya maneno ya mahaba kwa ajili yako. Read more

 • 100 Maneno ya hekima

  Katika makala hii ninawasilisha mkusanyiko wa maneno ya hekima: maneno ambayo inakufanya ufikiri na kukufanya uwe nadhifu. Read more

 • 100 Maneno ya hisia kali kuhusu mapenzi na maisha

  Kwa hii nakala tumekupa maneno ya hisia kali kuhusu mapenzi na maisha. Haya maneno kwa hakika yatakusaidia kueleza hisia zako kwa mpenzi wako na kumfanya awe na hisia moto na akufikirie kila wakati. Pia maneno ya maisha yataipua hisia yako na yatakupa motisha ya kila siku ili uweze kutimiza ndoto zako. Read more

 • SMS na Meseji za kumwambia mfiwa pole

  Kupoteza mtu husababisha maumivu ya kina na ya kibinafsi kwamba tunataka tu kuwafariji wale ambao kwa bahati mbaya wamepoteza mpendwa. Hapa kuna misemo, sms na meseji za kumwambia mwenzako pole kwa msiba. Read more

 • 100 SMS za asubuhi njema kwa rafiki

  Marafiki wanastahili kukumbukwa kila siku ili kudumisha urafiki. Ndio maana katika nakala hii tumekupa misemo na sms za asubuhi njema kwa rafiki. Read more