Christina shusho – …
 
Notifications
Clear all

Christina shusho – wa kuabudiwa lyrics


(@kwamboka)
Trusted Member
Joined: 8 months ago
Posts: 31
Topic starter  

Wakuheshimiwa ni wewe Mungu

Wakupewa sifa, na utukufu,

Ni wewe Mungu

Mungu mwenye nguvu,

Wastahili heshima zote

Hakuna mwingine wa kulinganishwa na

Wewe Mungu

Wakuabudiwa,

Wakuheshimiwa ni wewe Mungu

Wakupewa sifa, na utukufu,

Ni wewe Mungu

Mungu mwenye nguvu,

Wastahili heshima zote

Hakuna mwingine wa kulinganishwa na

Wewe Mungu

Umesema wewe, jina lako liko liliko ni we Mungu

Unafanya mambo yaliyo juu ya fahamu

Zetu Mungu

Ukisema ndiyo, nani awezaye kupinga?

Hakuna

Wewe unatupa kushinda na zaidi ya

Kushinda

Unatupandisha utukufu hadi utukufu;

Mungu

Umesema wewe, jina lako liko liliko ni we Mungu

Unafanya mambo yaliyo juu ya fahamu

Zetu Mungu

Ukisema ndiyo, nani awezaye kupinga?

Hakuna

Wewe unatupa kushinda na zaidi ya

Kushinda

Unatupandisha utukufu hadi utukufu;

Mungu

Wakuabudiwa,

Wakuheshimiwa ni wewe Mungu

Wakupewa sifa, na utukufu,

Ni wewe Mungu

Mungu mwenye nguvu,

Wastahili heshima zote

Hakuna mwingine wa kulinganishwa na

Wewe Mungu

Wakuabudiwa,

Wakuheshimiwa ni wewe Mungu

Wakupewa sifa, na utukufu,

Ni wewe Mungu

Mungu mwenye nguvu,

Wastahili heshima zote

Hakuna mwingine wa kulinganishwa na

Wewe Mungu

Uzima wetu uko mikononi mwako Mungu

Unawapa nguvu,

Wanyonge na wadhaifu Mungu

Unawanyeshea mvua wema na waovu mungu

Wanadamu nani wa kulinganishwa na

Wewe

Nani mwenye nguvu wa kusimama mbele

Yako Mungu

Uzima wetu uko mikononi mwako Mungu

Unawapa nguvu,

Wanyonge na wadhaifu Mungu

Unawanyeshea mvua wema na waovu mungu

Wanadamu nani wa kulinganishwa na

Wewe

Nani mwenye nguvu wa kusimama mbele

Yako Mungu

Wakuabudiwa,

Wakuheshimiwa ni wewe Mungu

Wakupewa sifa, na utukufu,

Ni wewe Mungu

Mungu mwenye nguvu,

Wastahili heshima zote

Hakuna mwingine wa kulinganishwa na

Wewe Mungu

Wakuabudiwa,

Wakuheshimiwa ni wewe Mungu

Wakupewa sifa, na utukufu,

Ni wewe Mungu

Mungu mwenye nguvu,

Wastahili heshima zote

Hakuna mwingine wa kulinganishwa na

Wewe Mungu

Hakuna mwingine wa kulinganishwa na

Wewe Mungu

Bwana utukufu wako sigusi

Bali utukufu ukurudie wewe Mungu wangu


   
Quote
(@kwamboka)
Trusted Member
Joined: 8 months ago
Posts: 31

   
ReplyQuote