Ilagosa Wa Ilagosa …
 
Notifications
Clear all

Ilagosa Wa Ilagosa -Atakupigania lyrics


(@kwamboka)
Trusted Member
Joined: 8 months ago
Posts: 31
Topic starter  

Mungu wako atakupigania

Mungu wako

Mungu wako atakupigania

Mungu wako

Adui zako wote watashangaa

Adui zako

Adui zako wote watashangaa

Adui zako

Watasema umeinuliwa

Watasema

Watasema umeinuliwa

Watasema

Mungu wangu atanipigania

Mungu wangu

Mungu wangu atanipigania

Mungu wangu

Adui zangu wote watashangaa

Adui zangu

Adui zangu wote watashangaa

Adui zangu

Watasema nimeinuliwa

Watasema

Watasema nimeinuliwa

Watasema

Kumbuka Yusufu aliuzwa

Na ndugu zake

Hawakudhani ataishi tena

Mungu ni mwema

Kumbuka Penninah alicheka

Mama Hannah

Mama Hannah hakuchoka

Kumgonja Mungu

Mungu wako atakupigania

Mungu wako

Mungu wako atakupigania

Mungu wako

Adui zako wote watashangaa

Adui zako

Adui zako wote watashangaa

Adui zako

Watasema umeinuliwa

Watasema

Watasema umeinuliwa

Watasema

Mungu wangu atanipigania

Mungu wangu

Mungu wangu atanipigania

Mungu wangu

Adui zangu wote watashangaa

Adui zangu

Adui zangu wote watashangaa

Adui zangu

Watasema nimeinuliwa

Watasema

Watasema nimeinuliwa

Watasema

Mipango mbaya wanayoipanga

Kinyume chako

Asema Mungu haitafaulu

Usiogope

Utafanya arusi washangae

Utafanya

Utafanya arusi washangae

Utafanya

Utaenda ng’ambo washangae

Utaenda

Utaenda ng’ambo washangae

Utaenda

https://mhariri.com/song-lyrics/gospel-lyrics/ilagosa-wa-ilagosa-atakupigania-lyrics/

This topic was modified 8 months ago by kwamboka

   
Quote