Wewe Ni Baba by Ess…
 
Notifications
Clear all

Wewe Ni Baba by Essence Of Worship Lyrics


(@kwamboka)
Trusted Member
Joined: 8 months ago
Posts: 31
Topic starter  

haku haku haku haku yee

umeinuliwa zaidi ya milima yote duniani

matendo yako makuu ya ajabu

yatisha kama nini

umeinuliwa zaidi ya milima yote duniani

matendo yako makuu ya ajabu

yatisha kama nini

umeinuliwa zaidi ya milima yote duniani

matendo yako makuu ya ajabu

yatisha kama nini

wewe ni Baba, ni Baba ni Baba

wewe ni Mungu, ni Mungu ni Mungu

umeinuliwa zaidi ya milima yote duniani

matendo yako makuu ya ajabu

yatisha kama nini

umeinuliwa zaidi ya milima yote duniani

matendo yako makuu ya ajabu

yatisha kama nini

umeinuliwa zaidi ya milima yote duniani

matendo yako makuu ya ajabu

yatisha kama nini

wewe ni Baba, ni Baba ni Baba

wewe ni Mungu, ni Mungu ni Mungu

pokea sifa utukufu wote Baba (unastahili)

pokea sifa utukufu wote Baba (unastahili)

pokea sifa utukufu wote Baba (unastahili)

wewe ni Baba, ni Baba ni Baba

wewe ni Mungu, ni Mungu ni Mungu

https://mhariri.com/song-lyrics/gospel-lyrics/wewe-ni-baba-by-essence-of-worship-lyrics-na-mafunzo/


   
Quote