Bendera ya Kenya

Posted by:

|

On:

|

Bendera ya Kenya

Bendera ya Kenya ilibuniwa baada ya Kenya kupata uhuru mwaka wa 1963. Inatokana na bendera ya chama kilichoongoza kupigania uhuru wa Kenya – The Kenya African National Union (KANU)

Bendera ya Kenya ina mistari mitatu ya mlalo: nyeusi, nyekundu na kijani.

Kila rangi ina maana maalum:

  • Nyeusi: Inawakilisha watu wa Kenya.
  • Nyekundu: Inawakilisha mapambano ya kupata uhuru na damu iliyomwagika.
  • Kijani: Inawakilisha ardhi na asili ya nchi ya Kenya.
  • Mistari nyeupe iliongezwa baadaye ili kuashiria amani na umoja.
  • Pia ina ngao na mikuki, inayoashiria ulinzi wa taifa ya Kenya.

Picha za bendera ya Kenya

Hizi hapa ni picha za bendera ya Kenya

Bendera ya Kenya
Bendera ya Kenya
Bendera ya Kenya
Bendera ya Kenya