Kukanusha na kinyume cha andika

Andika ni nini?

“Andika” ni kitenzi, ina maana ya kuweka alama kwenye karatasi au nyenzo nyingine kwa kutumia kalamu, penseli, au njia nyingine.

Mfano wa sentensi:

Mwanafunzi anaandika Insha.

Kinyume cha andika

Kinyume cha andika ni futa.

Andika – Futa

Mfano wa sentensi:

Mwanafunsi anafuta Insha.

Kukanusha neno andika

Neno “andika” linakanushwa kwa kuongeza kiambishi “si” kabla ya mzizi wa neno “andika”. Kwa hivyo, kinyume cha “andika” ni “siandiki”. Pia kukanusha hutegemea nafsi, kama vile:

Andiki – Siandiki (nafsi ya kwanza)

Anaandika – Haandiki (nafsi ya pili)

Wanaandika – Hawaandiki (nafsi ya tatu)

Mfano wa sentensi:

Mimi siandiki Insha. (nafsi ya kwanza)

Mwanafunzi haandiki Insha. (nafsi ya pili)

Wanafunzi hawaandiki Insha (nafsi ya tatu)

Related Posts