Biringanya in English

Posted by:

|

On:

|

Biringanya ni nini? – Maana ya biringanya katika Kiswahili

Biringanya au biringani ni tunda la mbiringani lenye rangi ya zambarau linalofanana na nyanya lakini ni kubwa zaidi na hutumika kama mboga.

Biringanya in English

Biringanya in English is eggplant.

“Eggplant is a plant species in the nightshade family Solanaceae. It is commonly purple, the spongy, absorbent fruit is used in several cuisines.” – (“Mbilingani ni mmea wa familia ya ‘Solanaceae’ una rangi ya zambarau. Tunda lake ni lainina linatumika katika vyakula vingi.”)

Eggplant in Kiswahili

Eggplant in Kiswahili is biringani au biringanya.