chapati

Chapati in English

Posted by:

|

On:

|

Chapati ni nini? – Maana ya chapati katika Kiswahili

Chapati ni mkate wa kusukuma.

Mfano katika sentensi:

Tulikula chapati na chai.

Mama anapika chapati na nyama.

Chapati in English

“Chapati” in English is “flatbread”. Ufafanuzi wa flatbread katika Kiingereza ni:

“A flatbread is a bread made with flour; water, milk, yogurt, or other liquid; and salt, and then thoroughly rolled into flattened dough.”

Comments are closed.