Chenza in English

Posted by:

|

On:

|

Maana ya chenza katika Kiswahili

Chenza ni tunda la jamii ya chungwa lenye harufu kali ambalo ganda lake ni laini zaidi kuliko chungwa.

Chenza in English

Chenza in English ni tangerine. Ufafanuzi in English ni:

“a small citrus fruit with a loose skin, especially one of a variety with deep orange-red skin.”

Tangerine in Kiswahili

Tangerine in Kiswahili is chenza.