Ghafla bin vuu in English

Maana ya ghafla bin vuu katika Kiswahili

Ghafla bin vuu ni msemo wa Kiswahili unaonyesha kuwa kitu kilitokea pasipo matajio.

Ghafla bin vuu in English

Msemo wa ghafla bin vuu hauna tafsiri ya moja kwa moja kwa Kiingereza lakini anatoa wazo la kitu kutokea ghafla na bila kutarajia.

Hapa kuna baadhi ya njia za kueleza “ghafla bin vuu” kwa Kiingereza, kulingana na muktadha:

  • All of a sudden
  • Out of nowhere
  • Without warning
  • As quick as a flash
  • In a blink of an eye
  • Unexpectedly
  • Abruptly

Mfano: “Nilikuwa nikitembea barabarani ghafla bin vuu mvua ikaanza kunyesha!” (I was walking on the street when suddenly it started raining!)

Related Posts