How to say I miss you in Swahili with messages

Posted by:

|

On:

|

,

I miss you in Swahili

Here are ways to say I miss you in Swahili:

1. Nakukosa: This is the most common translation of I miss you in Swahili.

Nakukosa is pronounced as: nah-koo-KOH-sah.

2. Nakumiss: This is a translation of I miss you in Sheng language, spoken mainly by Swahili youths.

Nakumiss si pronounced as: nah-koo-MEESS.

I miss you messages in Swahili

Here are I miss you messages in Swahili with translation into English.

1. Hakuna dakika moja katika siku yoyote ambayo sijikuti nakukosa.

(There isn’t a minute in any day that I don’t miss you.)

2. Nikifunga macho yangu nakuona. Lakini ninapofungua na sikuoni, hapo ninagundua jinsi ninavyokukosa.

(If I close my eyes, I see you. But when I open them and I don’t see you, is when I realize how much I miss you.)

3. Nimekukumbuka sana hivi kwamba ninawaonea wivu watu wanaopata nafasi ya kukuona kila siku.

(I miss you so much that I envy the people who get to see you every day.)

4. Ninajua kuwa nakupenda kwa sababu ya jinsi ninavyokukosa.

(I know that I love you because of how much I miss you.)

5. Nashangaa kama unanikosa kama vile ninavyokukosa.

(I wonder if you miss me as much as I miss you.)

6. Nimemiss sauti yako. Nimemiss mguso wako. Nimemiss uso wako. Ninakukosa rohoni.

(I miss your voice. I miss your touch. I miss your face. I miss you in spirit.)

7. Nilifikiri kwamba ningeweza peke yangu, lakini ninakukosa sana.

(I thought I could do it alone, but I miss you so much.)

8. Kukukosa ni jambo linalokuja kwa mawimbi. Na usiku wa leo ninazama bila wewe.

(Missing you is something that comes like waves. And tonight, I’m drowning without you.)

9. Siwezi danganya. Ukweli ni kwamba ninakukumbuka sana.

(I won’t lie. The truth is that I miss you so much.)

10. Hakuna kinachofanya chumba kihisi tupu kama kutokuwepo kwako.

(Nothing makes a room feel empty like your absence.)

11. Siwezi kuamini kwamba bado ninakukosa baada ya kila kitu tulichopitia.

(I can’t believe that I still miss you after everything we’ve been through.)

12. Maumivu ya kuwa bila wewe ni mengi sana wakati mwingine.

(The pain of being without you is too much sometimes.)

13. Siwezi hata kuanza kukuambia jinsi ninavyokukosa.

(I can’t even begin to tell you how much I miss you.)

14. Siwezi kujifanya kuwa sikukosi kwa sababu ninakuona katika kila kitu ninachofanya.

(I can’t pretend I don’t miss you because I see you in everything I do.)

15. Ninajua kuwa nakupenda kwa sababu ninakukosa hata unapokwenda kazini.

(I know that I love you because I miss you even when you go to work.)

16. Siku iliyopita nikiwa mbali na wewe, ni siku ambayo sifai kuishi.

(The last day I was away from you, is a day I don’t deserve to live.)

17. Huenda usiwe hapa karibu nami kila wakati, lakini wewe uko hapa moyoni mwangu kila wakati. Ninakukosa rohoni.

(You may not always be here next to me, but you are always here in my heart. I miss you in spirit.)

18. Nitaacha kukumiss tukiwa pamoja tena.

(I will stop missing you when we are together again.)

19. Ningependelea kuwa nikikubusu kuliko kukukosa.

(I’d rather be kissing you than missing you.)

20. Ninakukumbuka sana hivi kwamba siwezi kujizuia kuhisi kwamba kila wimbo ninaosikia unakuhusu.

(I miss you so much that I can’t help but feel that every song I hear is about you.)