Hustler definition in English
Hustler is a person adept at aggressive selling or illicit dealing.
Hustler means a prostitute.
Hustler meaning in Swahili
The word hustler in Swahili has different meaning depending on the context.
The word hustler in Swahili is commonly used to refer to a person who does not have a stable job, and does not know where his/her next income will come from. According to this context hustler in Swahili is:
- Mchumaji
- Mtafutaji
- Mlalahoi
Maana ya mchumaji
Mchumaji ni mtu anayeshughulika kutafuta mahitaji muhimu kwa mfano chakula au mavazi kwa ajili yake au wale wanaomtegemea.
Maana ya mlalahoi
Mlalahoi ni mtu anayeishi maisha ya dhiki kutokana na kuwa na kipato kidogo.
Hustler translation in Swahili
According to English definition a hustler is a person adept at aggressive selling or illicit dealing. A hustler also means a prostitute. According to this context a hustler in Swahili is:
1. Laghai
Laghai ni kudanganya mtu kwa manufaa yako, shawishi kwa hila.
2. Pwaguzi
Pwaguzi ni mtu mjanja sana na laghai kupindukia.
3. Tapeli
Tapeli ni mtu anayedanganya watu na kuwaibia.
4. Malaya
Malaya ni mtu anayefanya biashara ya kuuza mwili wake kwa kufanya ngono ilia pate fedha.
Visawe vya malaya ni: guberi, kiberenge, kahaba, kibiritingoma, mwanamkendege n.k.