Jogoo in English

Posted by:

|

On:

|

Maana ya jogoo katika Kiswahili

Jogoo ni dume la kuku.

Mfano: Leo tumechinja jogoo kwa ajili ya kitoweo.

Kisawe cha jogoo ni jimbi.

Jogoo in English

Jogoo in English translates to a rooster or a cock. Ufafanuzi katika Kiingereza ni:

“a male domestic fowl” – (ndege wa kiume wa kufugwa)

A rooster in Kiswahili

A rooster in Kiswahili ni jogoo.

Comments are closed.