Kabati ni nini? – Maana ya kabati katika Kiswahili
Kabati ni samani yenye umbo kama sanduku lililosimama wima inayotumiwa kuhifadhia vitu mbalimbali kwa mfano sahani, vikombe na kadhalika.
Mfano wa sentensi
Seremala alitengeneza kabati.
Kabati in English
Neno “kabati” linaweza kuwa na tafsiri kadhaa katika Kiingereza, kulingana na muktadha:
1. Cupboard: Hii ndiyo tafsiri ya kawaida ya neno “kabati” in English. Ufafanuzi wake katika English ni:
“a recess or piece of furniture with a door and typically shelves, used for storage.” – (samani yenye mlango na rafu, hutumika kwa ajili ya kuhifadhi vitu)
2. Closet/wardrobe: “kabati” pia inaweza kuwa closet au wardrobe. Ufafanuzi wa closet katika Kiingereza ni:
“A closet is an enclosed space, with a door, used for storage, particularly that of clothes.” – (kabati kubwa linalotumika kuhifadhia nguo.)
Cupboard in Kiswahili
Cupboard in Kiswahili ni kabati.
Pia closet or wardrobe in Kiswahili ni kabati la nguo.
One response to “Kabati in English”